У нас вы можете посмотреть бесплатно TAUSIA YA ALMARHUM SHEIKH ABDALLAH MBWANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Almarhum Ustadh Abdallah Mbwana alitumia maisha yake yote katika kunusuru Uislamu. Hamu yake kubwa ilikuwa ni kutafuta elimu ya dini, kuisoma na kuifundisha. Ndiyo maana wasia wake wa mwisho kwa umma ulikuwa ni kutuhimiza tusidharau elimu wala walimu wa madrasa, bali tuwaheshimu na kuthamini juhudi zao katika kulea kizazi cha Kiislamu. Tutamkumbuka kwa juhudi zake zisizochoka, moyo wake wa kujitolea, na mchango wake mkubwa katika kueneza elimu ya dini na kuimarisha maadili ya Kiislamu katika jamii. Allah amuweke pema peponi, atujalie subra na atupe uwezo wa kuendeleza mema aliyotuachia, na wakati wetu ukifika atujalie husnul khatimah. Aamiin.