У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU AAGIZA MUUGUZI ALIYEFANYA UPASUAJI NYUMBANI AFUKUZWE KAZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAZIRI MKUU AAGIZA MUUGUZI ALIYEFANYA UPASUAJI NYUMBANI AFUKUZWE KAZI NA AFIKISHWE MAHAKAMANI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kali dhidi ya muuguzi mmoja mkoani Tabora anayedaiwa kufanya upasuaji wa mgonjwa nyumbani kwake kinyume na maadili ya taaluma ya afya. Akizungumza leo Machi 4, 2026 alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga jijini Dodoma baada ya kusimamishwa na wafanyabiashara hao, Waziri Mkuu alisema haiwezekani mtu kufanya upasuaji nyumbani wakati Serikali imejenga hospitali, vituo vya afya na hospitali za rufaa katika maeneo mbalimbali ili wananchi wapate huduma salama. “Sasa naelekeza mamlaka zinazohusika: huyu si wa kuhamishwa, afukuzwe kazi mara moja. Na akishafukuzwa apelekwe kwenye mkono wa sheria. Na wale wanaotoa vibali vya kitaaluma wamnyang’anye hicho kibali. Kidogo kidogo tutaelewana,” amesema. SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 / @kasacomedia ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA SWALI AU JAMBO LOLOTE? ⚫️ WASILIANA NA KASAKO MEDIA : ( +255 761984534 )| Kimataifa: +1 317-519-5285 ⚫️ Email: kasacotv@gmail.com | info@kasacocotzltd.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW ⚫️ Kwa UPDATES zaidi,Subcribe kasako media ⚫️ Youtube / @kasacomedia Project on the lives of artist and more| @Kashindi Msambilwa| CEO/FOUNDER @Sangani Fikiri. | CEO/FOUNDER @Jerome Bucuma Paul | General Manager @Richard Wakona | General Manager @Emmy Joel Mwaipopo | Program Manager