У нас вы можете посмотреть бесплатно PART 2: UTAJIRI WA DJ ALLY B MWENYE MIZUKA NDANI YA GARI, ASIMULIA MSOTO ALIOPITIA BAADA YA KUJA DAR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ally Seleman Simba maarufu kama Professor, DJ Ally B… aliyejipatia umaarufu kutokana na mizuka ama Vibes zake Kwenye kazi yake na haswa hivi karibuni akiwa ndani ya Gari zake za kifahari. Ameanza kazi toka mwanzoni mwa mwaka 2000 baada ya kumaliza Darasa la Saba… shule haikuwa kipaumbele chake.. hakupenda shule wala hakupenda kusoma, ikamlazimu kufanya kazi ngumu za ukibarua ili apate pesa.. ya kujikimu Maisha… na haikutosha akafanya mpaka kazi Kwenye Daladala na bado mambo hayakuwa mazuri..