У нас вы можете посмотреть бесплатно SIRI YA KUONDOA UCHAWI NDANI YA NYUMBA NA KATIKA MWILI KWA KUTUMIA KIVUMBASI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SIRI YA KUTUMIA KIVUMBASI KWA KUONDOA UCHAWI Katika video hii utajifunza namna ya kuondoa na kufukuza uchawi ndani ya nyumba na mwilini kwa kutumia kivumbasi. njia hii ni nzuri na itakufaa sana kwa wewe unaesumbuliwa na uchawi ambao upo ndani ya nyumba na mwilini hivyo kuleta madhara mbali mbali kama vile, maradhi,migogoro isio kwisha,na ugumu wa maisha kiuchumi. Usisahau ku subcribe/ kulike/ Kushare/ na kucomment Kwa mahitaji ya visomo vya dua, pamoja na dawa za miti shamba na tiba za maradhi mbali mbali waweza fika dukani kwetu tegeta jijini dar es salaam. (MANYEMA HERBALIST CLINIC) Wezesha mchango wako kama sadaka kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya kutuendeshea vipindi vyetu vya darasa za tiba zetu asili.tunahitaji CAMERA, BOOM MIC,STEND YA CAMERA na vitu vinginevyo. chochote utakacho jaaliwa na Allah basi tupe mchango wako kwa hali na mali, ili kuipa nguvu chanel yetu hii Ya DIMMO TV. (INSHAALLAH MUNGU ATAKUBARIKI) MAWASILIANO 0714 927 098 0754 852 596 MAALIM KOMBO