У нас вы можете посмотреть бесплатно INASIKITISHA: Maskini Aslay! Kumbe haya ndiyo yaliyomfika? Beka Flavour Aweka Siri Nje или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu tena BONGO VIBE, mahali pekee ambapo tunahakikisha We Make You Vibe kwa habari za ukweli. Leo tunaiangazia Siri nzito inayomhusu msanii Aslay Isihaka baada ya picha zake kusambaa zikidaiwa kuwa Aslay analala chini. Kwenye Exclusive Interview hii, msanii Beka Flavour amevunja ukimya na kumfichua Aslay pamoja na kueleza hali halisi ya maisha ya mwanamuziki huyo kwa sasa. Kama ulikuwa shabiki wa Yamoto Band, basi hii inakuhusu kwa sababu Beka ameweka wazi vitu ambavyo wengi walikuwa hawavijui kuhusu rafiki yake huyo. Je, hii ni kiki ya Aslay New Song inayokuja, au ni changamoto za Maisha ya wasanii wa Bongo Flava? Tazama video hii mpaka mwisho uone jinsi Beka Flavour amfichua Aslay na kutoa ujumbe mzito kwa mashabiki wa Tanzania Music. habari inayotrend sasa hivi kama zilivyo habari za Diamond Platnumz, Zuchu, au Harmonize, hivyo hakikisha una-subscribe ili usipitwe na update yoyote ya Udaku wa wasanii na burudani kutoka Wasafi Media, Global TV, na vyanzo vingine vya uhakika. #Aslay #BekaFlavour #BongoVibe #BongoFlava #SiriNzito #YamotoBand #TanzaniaNews