У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🔴#LIVE: GLOBAL HABARI JUNI 27 -WAZIRI KIGWANGALA ATOA MAAGIZO PORI LA AKIBA Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala ameagiza kuundwa kwa Kamati itakayopitia na kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya namna bora ya kushughulikia mgogoro wa uanzishwaji wa Pori la Akiba pamoja na Ziwa Natron. Dkt. Kigwangalla ameunda Kamati hiyo jijini Arusha wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron, kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi kutoka katika maeneo yenye mgogoro wilayani Longido, viongozi wa mila wa kabila la Wamasai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline