У нас вы можете посмотреть бесплатно HII NI MIUJIZA YA ROZARI KAMA ANAVYOSIMULIA SISTA MARIA ANITA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Radio Maria Tanzania mwaka huu inatimiza Miaka 30 ya Uinjilishaji tangu ilipoanzishwa Songea Mwaka 1996. Sista Maria Anita Florin kutoka India ambaye kwa sasa anahudumu katika Jimbo katoliki Same anaipongeza Radio Maria kwa kutimiza Miaka 30 huku Akikiri kuwa Radio Maria inagusa sana Maisha yake ya Kila siku hasa kutokana na Sala za Rozari ambazo zikuwa zikiruka Redioni. Radio Maria Tanzania S.L.P 34573, Mikocheni Industrial Area plot no. 125, Barua pepe: info.tan@radiomaria.org Wavuti: www.radiomaria.co.tz Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: Radio Maria Tanzania Facebook Link: / radiomaria.tanzania Instagram: Radio Maria Tanzania Instagram Link: / radiomariatanzania Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.