У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUU WA CHUO APONGEZA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA VIONGOZI WA IAA BUSINESS STARTUP CENTER или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uongozi IAA Business Startup Centre @bsuc_iaa kwa kushirikiana na Uongozi wa Chuo Cha Uhasibu Arusha wakiongozwa na Mkuu wa Chuo prof. Eliamani Sedoyeka kama mgeni Rasmi wameadhimisha miaka mitano ya kuanzishwa kwa Kiatamizi hicho Akizungumza katika hafla hiyo Mkuu wa Chuo ameupongeza uongozi wa IBSUC na wanafunzi wajasiriamali kwa kuendelea kutumia fursa hiyo na kuendelea kuandaa na kukuza mawazo ya biashara ndani na nje ya Chuo kupitia kiatamizi hicho IBSUC ilianzishwa rasmi Disemba 2019 na mpaka sasa zaidi ya wanafunzi na wajasiriamali zaidi ya 500 wamekuwa wanachama na kuweza kuendeleza mawazo yao ya biashara