У нас вы можете посмотреть бесплатно ZEGE HAILALI MBUNGE KISWAGA AIBANA SERIKALI MIRADI VIPORO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Magu Mhe. Boniventura Destery Kiswaga, aimeikumbusha Serikali kukamilisha miradi viporo ya maji katika jimbo la Magu. Mhe. Kiswaga amesema hayo Bungeni Dododma wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Mbunge Kiswaga amedai Serikali ikamilshe miradi ya Maji ya Lugeye-Kigangama-Mwamanga. Nyang'hanga -Iseni, Misungwi -lumeji na mradi wa Sagani Mwamabanza . Mbunge Kiswaga ameitaka Serikali kuongeza juhudi za kuboresha miundombinu ya barabra hasa katika kata za Kisesa na Bujora ambazo maeneo yanayokua kwa kasi. UTU NA KAZI TUNASONGA MBELE PAMOJA. TUNTUME HAKI KISWAGA ATOSHIJE 12.04.2024