У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kuuza/Kununua Hisa DSE: Siri ya Support na Resistance! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya Kuuza na Kununua Hisa DSE: Siri ya Support na Resistance Hivi ushawahi kujiuliza kwanini kuna wakati bei ya nyanya sokoni inashuka mpaka inafika 200, halafu haishuki tena chini ya hapo? Au kwanini bei ya tiketi ya basi msimu wa sikukuu inapanda mpaka inafika ukomo fulani na kugoma kupanda zaidi? Kwenye biashara ya kawaida, tunaita 'bei ya soko'. Lakini kwenye ulimwengu wa Hisa na Forex, hii ndiyo siri inayoitwa Support na Resistance. How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs