У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la jumla yenye faida! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la jumla yenye faida “Ramadhani alikuwa mfanyakazi wa kuajiriwa kwenye duka la jumla Kariakoo. Mwaka 2022, mshahara wake ulikuwa TZS 350,000 kwa mwezi. Kila siku alipofungua magodoro, sukari, mafuta ya kula, aliwaza kitu kimoja: ‘Kama mmiliki wa duka anamliipa mimi laki tatu tu… yeye anapata kiasi gani?’ Miaka miwili baadaye, Ramadhani ana duka lake la jumla Mbagala. Faida yake ya wastani kwa mwezi ni zaidi ya TZS 1,200,000 – na bado duka linaendelea kukua. How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs