У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi Ya Kupata Pesa Soko La Hisa: Hisa Zinazolipa Gawio Kubwa Tanzania или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unajua kwamba unaweza kuwa mmiliki wa Benki kubwa hapa nchini au Kiwanda cha Bia kwa kuanzia mtaji wa elfu chache tu? Kumiliki hisa sio lazima uwe milionea. Ziko hisa za bei ya chini kama shs 500-1000. Leo nitakuonyesha hisa 5 maarufu zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ambazo vijana wengi wanaziangalia kwa ajili ya kukuza mtaji na kupata gawio nono. Ikiwa unataka pesa yako ikufanyie kazi wakati umelala, badala ya kuiacha tu benki ikiliwa na makato, hii video ni kwa ajili yako." How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs