У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kukuza Mtaji DSE: Siri ya RSI na MACD kwa Wajasiriamali! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unapowekeza kwenye soko la hisa matarajio yako ni kupata pesa nyingi. Njia moja wapo ya kupata pesa nyingi ni kufuatilia mabadiliko ya bei za hisa kwenye soko la hisa. Hisa inalipuka kwa kasi ya ajabu, halafu unabaki unajiuliza, "NILITAKIWA KUIJUA HII MAPEMA!" Umewahi kuwaona wengine wakipiga pesa nyingi kutokana na mabadiliko ya soko ambayo wewe hata hukuwa na habari nayo? Kwenye video iliyopita nilieleza siri ya kwanza ya kutambua mabadiliko ya bei za hisa. Kwenye video hii, nitaeleza siri ya pili ya kutambua mabadiliko ya bei za hisa How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs