У нас вы можете посмотреть бесплатно Sheikh Omar na Sheikh Mohamed Nur salaah ya Eid Al Fitr msikitini Jamia Marsabit. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ujumbe wa amani na himizo la kusaidia maskini na wanyonge katika jamii umesheheni sherehe za siku kuu ya Eid-Ul-Fitr katika kaunti ya Marsabit. Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Marsabit zimepelekea ibada hizo kuandaliwa misikitini tofauti na hapo awali ambapo ziliaandaliwa viwanjani. Akiongoza ibada katika msikiti wa Jamia mjini Marsabit Sheikh Omar amewataka waislamu wote na hata wakristu kuhubiri amani na utangamano miongoni mwao. Wito sawa na huo umetolewa na Imam wa msikiti huo, Sheikh Mohamed Noor akiwarai wananchi kuendelea kuhubiri amani, umoja na usalama jimboni. Wamewarai wanaMarsabit kuweka nidhamu ya binafsi, kujitolea na pia kuwasaidia maskini na wanyonge kwenye jamii Aidha wamewapa changamoto waumini waislamu kuendelea kutenda mema na kusali jinsi wamekuwa wakifanya wakati wa mfungo wa mwezi mutukufu wa Ramadhan.