У нас вы можете посмотреть бесплатно MCHANGO WA WADAU KATIKA UHIFADHI WA MISITU HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAKALA MCHANGO WA WADAU KATIKA UHIFADHI WA MISITU HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI Uhifadhi Wa Misitu Ni Nguzo Muhimu Ya Kulinda Mazingira Na Maisha Ya Wananchi. Wilaya Ya Handeni Yenye Jumla Ya Hekta 56,354.49 Za Misitu, Ikiwemo Ya Inayomilikiwa Na Serikali Za Vijiji, Halmashauri Ya Wilaya, Mashamba Ya Miti Ya Halmashauri Na Misitu Inayosimamiwa Na Wakala Wa Huduma Za Misitu TFS , Ni Miongoni Mwa Maeneo Yanayonufaika Na Ushirikiano Wa Wadau Mbalimbali Katika Kulinda Misitu Likiwemo Shirika La Kuhifadhi Misitu Tanzania Tfcg, Mtandao Wa Jamii Wa Usimamizi Wa Misitu Tanzania MJUMITA, World Vision Tanzania, Forest Focus, Na Wakala Wa Misitu Tanzania TFS Kama Anavyoeleza Bw. Napoleon Mlowe Afisa Maliasili Halmashauri Ya Wilaya Ya Handeni.