У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKAMU MPANGO AZUNGUMZA na WANANCHI TANGA - NAIBU WAZIRI KASEKENYA AFUNGUKA UJENZI WA BARABARA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAKAMU MPANGO AZUNGUMZA na WANANCHI TANGA - NAIBU WAZIRI KASEKENYA AFUNGUKA UJENZI WA BARABARA... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango amewasihi wananchi wa Kabuku na Watanzania kwa ujumla kuongeza jitihada katika utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi. Ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa kabuku wilayani handeni mkoani Tanga kwenye ziara yake ya kikazi Amesema athari za uharibifu wa mazingira zimepelekea ongezeko la joto kupita kiasi, ongezeko la mvua ambayo imepelekea uharibifu wa miundombinu na mlipuko wa magonjwa. Amesema ni muhimu watanzania kutambua uhifadhi ya mazingira ni jukumu la kila mmoja kwa kuacha kukata miti ovyo, kuacha kuchoma misitu pamoja na kupanda miti na kuitunza. Makamu wa Rais amewasisitiza wananchi wa Kabuku kuhakikisha wanazingatia elimu kwa watoto ili kuwa na kizazi bora na chenye maarifa kwa manufaa ya Taifa. Pia amewaasa wananchi wa eneo hilo kuzingatia lishe kwa kuwa ndio msingi wa afya bora ya mwili na akili. Nae naibu waziri wa ujenzi Mhe Godfrey Kasekenywa amesema ujenzi wa barabara ya handeni mziha mpaka turiani kwenda Magoya inayounganisha mkoa wa Tanga na mkoa wa morogoro tayari kibali kimeshatolewa kuanza ujenzi wote wa barabara na tayari wameshaanza upande wa morogoro kuja tanga na wataanza na kilometa 30 Aidha amesema mipango mingine ambayo Mhe Rais anaiteleleza ni kujenga barabara kutoka handeni kwenda pangani na mkandarasi yupo site na pangani pia kuna daraja linajengwa lenye urefu wa 525 na mkandarasi yupo site ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx