У нас вы можете посмотреть бесплатно MSINGI WA RESTAURANT YENYE MAFANIKIO - SALHA SALUM KUTOKA INSTITUTE WORLDWIDE COLLEGE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Siri ya huduma bora kabla mgeni hajafika SULUHISHO LA AJIRA Mageuzi makubwa katka Tasnia ya Hotel. Ama- kweli !! Kila zama na kitabu chake. Sasa ni zama za Tcha Paul Bagenyeka. Uzoefu wake wa miaka mingi kufanya kazi Mahotelini na kufundisha kozi za hotel. Unamfanya Mkufunzi Paul Bagenyeka Kuziona fursa za Ajira Mahotelini ndani na nje ya nchi . Mkufunzi huyu wa kimataifa anajua kuzisoma alama za nyakati anajua afundishe nini kinahitajika ktk soko la ajira , hivyo kufanya wanafunzi wake kua bora kabisa. TCHA PAUL BAGENYEKA sasa ana kualika kujiunga na chuo katika Kozi zifuatazo. . Food Production . Food and beverage service . Hotel Housekeeping . & Front Office operation Huduma zetu ni zaidi ya matarajio. Utapata ushirikiano ktk hatua zoote za kujifunza. utapata ushirikiano uwapo darasani utapata Hotel bora kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wakati. tutahitimisha kwa kukupa ushirikiano wa hali ya juu ktk mchakato wa ajira. USIKUBALI YA KUAMBIWA FIKA UJIONEE - Tupo Msasani Mwai-Kibaki Road . Kituo cha UBALOZI - Uliza NEW MSASANI CLUB pia Tupo Bagamoyo Road Bunju A kwa Baharia Tupigie 0716932570 / 0764089676. WhatsApp 0716932570 Facebook:Institute Worldwide YouTube: Institute Worldwide Instagram: Institute Worldwide Email : instituteworldwide2006@gmail.com