У нас вы можете посмотреть бесплатно NDOTO ZA WANAHABARI CHIPUKIZI ZANG’AA BAADA YA ZIARA YA DSTV SUZA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampuni ya kimataifa ya burudani ya televisheni, DStv, imefanya ziara maalum katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,Skuli ya kompyuta habari na mawasiliano State University of Zanzibar (SUZA), na kuzungumza na wanafunzi wa Uandishi wa Habari kuhusu fursa za udhamini wa masomo pamoja na nafasi za kukuza taaluma yao. Katika ziara hiyo, wanafunzi walipata nafasi ya kujifunza kuhusu safari ya taaluma ya uandishi wa habari, changamoto za tasnia ya habari, pamoja na mbinu za kujijenga kitaaluma ili kufikia viwango vya kimataifa. Aidha, DSTV ilieleza mikakati yake ya kusaidia vijana wenye vipaji kupitia programu mbalimbali za mafunzo na ufadhili. Ziara hii imeamsha matumaini mapya kwa wanahabari chipukizi wa SUZA, huku wengi wakionesha shauku ya kutumia fursa hiyo kuboresha ujuzi na kujiandaa kwa soko la ajira.