У нас вы можете посмотреть бесплатно VID UGAWAJI WA FUTARI 2025-Mwezi wa Ramadhani umekaribia– mwezi wa rehema, maghfira na riziki. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Assalaam Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh Kwa unyenyekevu na furaha kubwa, tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kua hai na wazima.. Mwezi mtukufu wa Ramadhani umekaribia– mwezi wa rehema, maghfira na kuongezewa riziki. Ni mwezi wa kushirikiana, kusaidiana na kujali hali za wenzetu,mayatima wetu ambao wanaishi kweny mazingira magumu na wana uhitaji mkubwa wa msaada wetu Taasisi ya VID, tunawaalika ndugu, jamaa na wadau wote wenye mapenzi mema kushiriki nasi katika mradi wa kutoa iftar kwa familia 600 zitakazokuwa katika hali ya uhitaji ili wapate futari katika mwenzi mtukufu wa Ramadhani Mchango wako, uwe mkubwa au mdogo, ni sadaka yenye thamani kubwa mbele ya Allah, na utakuwa sababu ya tabasamu, faraja na baraka kwa familia nyingi zinazotusubiri kwa matumaini. Tunaomba tushikamane, tushirikiane na tufanye maandalizi ya Ramadhani hii kwa kujikaribisha kwa Allah kupitia sadaka Allah awalipe kwa wema wote mtakaoshiriki. Ramadhani Kareem.