У нас вы можете посмотреть бесплатно TABORA WATANGAZA VITA DHIDI YA UTAPIAMLO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TABORA: KWA mujibu wa ripoti za kitaifa za lishe nchini Tanzania, takribani asilimia 30 ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na tatizo la udumavu. Hali hiyo pia inaonekana katika baadhi ya mikoa ikiwemo Tabora, Geita na Iringa ambapo changamoto ya lishe duni imeendelea kuathiri ukuaji na maendeleo ya watoto. Kutokana na hali hiyo, serikali imeendelea kuongeza juhudi za kukabiliana na changamoto ya lishe kupitia utekelezaji wa programu na miradi mbalimbali inayolenga kuboresha afya na ustawi wa watoto pamoja na jamii kwa ujumla. Na Michael Samwel Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09