У нас вы можете посмотреть бесплатно Ushiriki wa Sekta Binafsi Umeboresha Huduma za Afya Rombo-Mbunge na Waziri wa Elimu Prof.Mkenda или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ushirikiano wa Serikali pamoja na Taasisi binafsi Katika Utoaji wa huduma za afya wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro,Umerahisisha Utoaji wa huduma Kwa Wananchi. Mbunge wa Jimbo la Rombo na Waziri wa Elimu, Prof.Adolf Mkenda Amesema Hayo Jan 1,2025 Alipotembelea Maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Judwill inayojengwa na kanisa la Pentekoste la SEIC Mkoani Kilimanjaro. Profesa Mkenda Amesema kukamilika kwa Zahanati kunakwenda kuifanya Wilaya ya Rombo Kuwa na jumla ya Zahanati 17 zinazomilikiwa na sekta binafsi. Aidha Waziri Mkenda Amesema Licha ya Maendeleo Makubwa yaliyofanywa na Serikali kwenye sekta ya afya Lakini bado inaendelea na juhudi za ujenzi wa vituo vya afya na Zahanati pamoja na kupandisha hadhi ikiwemo hosptali ya huruma ambayo Ndani ya Mwaka 2026 itapandishwa kuwa hosptali ya Rufaa ngazi ya Mkoa. Kwa upande wa mkurugenzi wa Judwell na askofu wa kanisa Hilo Wilirk Herman amempongeza mbunge wa Rombo Prof Adolf Mkenda Kwa Namna ambavyo anashirikiana na Taasisi binafsi Katika kuwaletea wananchi Maendeleo.