У нас вы можете посмотреть бесплатно 📌*Mfumo wa IDRAS umelenga kuondoa Urasimu na kurahisisha Huduma*Dc Mnzava или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KILIMANJARO Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro,Godfrey Mnzava,Amesema lengo la Serikali Kuanzisha Mfumo jumuishi wa usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) ni Kuondoa Urasimu Kwa Taasisi zinazohudumia Wafanyabiashara. Mkuu wa wilaya Amesema hayo Januri 29,2026 Wakati akifungua Mafunzo ya Mfumo jumuishi wa usimamizi wa kodi za ndani(IDRAS) yaliyoandaliwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kilimanjaro. Amesema Mradio Huo ni sehemu ya utekelezaji wa mpango mkakati wa 6 wa mamlaka ya mapato Tanzania unaolenga kuongeza ukusanyaji wa mapato, pamoja na kuongeza matumizi ya (TEHAMA)Katika kusimamia na Kuhifadhi taarifa Aidha Ametoa wito kwa washiriki wa Mafunzo hayo Kutoa Maoni na Kubainisha changamoto watakazozibaini ili kupatia majibu ya mfumo huo jumuishi utakaounganisha taasisi Zaidi ya 300. Awali Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kilimanjaro, James Jilala,Alisema Mfumo huo licha ya kumpunguzia gharama mfanyabiashara lakini ni rafiki na Utarahisisha utoaji huduma. Mfumo jumuishi wa usimamizi wa kodi za ndani(IDRAS) unatarajiwa kuzinduliwa rasmi February 9,2026 na unatarajiwa kuanza kutumika kuanzia February 26,2026