У нас вы можете посмотреть бесплатно "NJIA RAHISI YA KUJIAJIRI KENYA NA TANZANIA:BIASHARA YA CHENI, BANGILI NA VINYAGO" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
📌Karibu kwenye Moyo wa Malezi, mahali tunapojifunza pamoja kuhusu malezi, maendeleo ya familia na njia mbalimbali za kujiongezea kipato. Katika video hii tunazungumzia faida za kufanya biashara ya bidhaa za urembo kama cheni, hereni, bangili na vinyago. ✨Biashara hii ni Moja ya biashara rahisi kuanza Kwa mtaji mdogo, na inaweza kufanywa na mtu yeyote anayependa urembo na mitindo. Bidhaa hizi zinapendwa na watu wengi kwa sababu huongeza mvuto, kujiamini na kupendeza katika mavazi ya Kila siku au katika matukio maalum. 👤Kupitia video hii utajifunza: ✨Faida za kuanza biashara ya cheni, hereni na bangili. ✨Jinsi biashara hii inaweza kusaidia kuongeza kipato Cha familia. ✨Namna ya kuvutia wateja na kukuza biashara Yako. ✨Umuhimu wa ubunifu na ubora wa bidhaa katika biashara ya urembo. Lengo la Moyo wa Malezi ni kuwahamasisha wazazi, vijana na jamii kwa ujumla kujitegemea kiuchumi huku tukijenga familia imara. Usisahau: 👍Like 💬 Comment 🔔 Subscribe kwenye Moyo wa Malezi ili upate mafunzo zaidi kuhusu biashara ndogo, malezi na maendeleo ya familia. #moyowamalezi #biashara #ubunifu