У нас вы можете посмотреть бесплатно "KWANINI WANAFUNZI HUSAHAU WANACHOFUNDISHWA SHULENI? SABABU 5 MUHIMU WAZAZI WANAPASWA KUJUA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
📌Nilisoma lakini nimesahau! Kauli ambayo wazazi wengi husikia mara kwa mara. Inaweza kukatisha tamaa, kuumiza, na hata kuleta wasiwasi. Lakini je, umewahi kujiuliza? 👉Kwanini wanafunzi husahau kile walichofundishwa shuleni? ✍️Katika video hii ya Moyo wa malezi, tunachambua sababu 5 muhimu zinazoathiri kumbukumbu na uwezo wa mtoto kuhifadhi maarifa. 🎯Utajifunza: 🧠Tofauti ya kukariri na kuelewa. 🥺Athari ya stress kwenye ubongo wa mtoto. 😌Umuhimu wa usingizi kwa kumbukumbu. 🧳Jinsi distractions zinavyoharibu umakini. 🔀Kwanini marudio ni muhimu. 💛 Video hii ni muhimu Kwa: ✔️Wazazi ✔️Walezi ✔️Wanafunzi ✔️Walimu Kwasababu kusahau siyo kila mara ni uvivu_ wakati mwingine ni ishara ya changamoto zinazohitaji uelewa❤️ 💬TUAMBIE KWENYE COMMENTS: Mtoto wako anakutana na changamoto gani kwenye masomo? 🔔USISAHAU: 👍Like 💬 Comment 🔔 Subscribe kwa content zaidi za malezi, saikolojia ya watoto& mafanikio ya kielimu. #moyowamalezi #masomo #kumbukumbu