У нас вы можете посмотреть бесплатно WACHIMBAJI WATATU WAHOFIWA KUFIA MGODINI KAHAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wachimbaji watatu wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nkandi uliopo eneo la Mwime, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa katika shughuli zao za uchimbaji. Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wilayani humo, Mkaguzi Msaidizi, Hafidh Ramadhan Omary amesema kuwa tukio hilo limetokea jana Februari Mosi 2025 saa nne asubuhi. “Jana tulipokea taarifa ya watu kufukiwa katika mgodi wa Nkandi eneo la Mwime, kwa kushirikiana na wananchi tulianza haraka uokoaji na mpaka usiku tulifanikiwa kutengeneza njia za kufika sehemu ambapo inahisiwa watu wamenasa, lakini kutokana na changamoto ya hali ya hewa tuliahirisha shughuli hiyo mpaka leo asubuhi ambapo mpaka sasa tunaendelea” amesema Hafidh. Soma zaidi katika tovuti ya Mwananchi (Imeandikwa na Amina Mbwambo)