У нас вы можете посмотреть бесплатно "TUBADILI MINDSET": MUNKUNDA AVALIA NJUGA UTALII, AGUSA TRC ATAKA NYANGUMI WANAOZAA KUCHANGIA MAPATO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwanahamiss Munkunda, amezitaka taasisi na mashirika ya umma yanayojihusisha na biashara, yakiwemo Shirika la Reli Tanzania (TRC), kubadili mtazamo na kubuni mbinu bunifu za kuongeza mapato kwa kutumia rasilimali walizonazo. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma leo, Munkunda amesema kuwa bado mashirika mengi hayajatumia ipasavyo fursa zilizopo, jambo linalozuia ukuaji wa mapato na mchango wao katika uchumi wa taifa. Aidha, ameitaka sekta ya utalii kupanua wigo wa vivutio vinavyotangazwa badala ya kujikita zaidi kwenye hifadhi za nchi kavu kama Serengeti, huku rasilimali za baharini zikisahaulika.#BadiliMindset #Whales #UtaliiWaBahari #BlueEconomy #TRC #TanzaniaTourism #MarineTourism #MapatoYaTaifa #Bunge #CCM #Munkunda #tmcnews565