У нас вы можете посмотреть бесплатно MFAHAMU DANIEL CHONGOLO ALIYEKUWA KATIBU MKUU wa CCM ALIYEJIUZU... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MFAHAMU DANIEL CHONGOLO ALIYEKUWA KATIBU MKUU wa CCM ALIYEJIUZU... Daniel Godfrey Chongolo ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye amekuwa gumzo mno akidaiwa kutaka kuachia nafasi hiyo ya Ukatibu Mkuu wa chama hicho kikongwe na kinachotawala nchini Tanzania. Taarifa za Chongolo kutaka kujiuzulu wadhifa huo mkubwa zimekuwa ni nyingi kwenye mitandao ya kijamii. Kumekuwa na giza juu ya kiongozi huyo huku chama kikiwa hakijasema lolote kuhusu kujiuzulu kwake. Mmoja wa viongozi wa Kamati Kuu wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania - Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameenda mbali na kumkaribisha kwenye chama hicho. Chongolo alipendekezwa kushika wadhifa huo na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk Samia Suluhu Hassan na kuthibitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM siku ile ya Aprili 30, 2021 akichukua nafasi hiyo kutoka kwa Dk Bashiru Ally. Barua hiyo inayodaiwa kuandikwa na Chongolo akiomba kujiuzulu inaonesha amemwandikia Mwenyekiti wake, Rais Samia, akimueleza uamuzi wake wa kujiuzulu akidai kuchafuliwa kupitia mitandao ya kijamii. Katika barua hiyo ya Novemba 27, 2023 inayodaiwa ni ya Chongolo anasema kuwa, amechukua hatua hiyo kama wajibu wa kiongozi kuwajibika kwa masilahi ya chama wakati wote anapotuhumiwa au kuhusishwa na jambo lolote linalokiuka maadili ya kiongozi wa umma. Hata hivyo, hakuna aliyethibitisha kuhusu barua hiyo hali iliyosababisha mjadala kuwa mpana huku akihusishwa na kashfa iliyohusisha ajali ya gari katika Daraja la Tanzanite jijini Dar es Salaam. Madai ya kujiuzlu kwa Chongolo yalishika kasi kama moto wa kifuu baada Novemba 28, 2023 kutoonekana katika semina ya mafunzo kwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam iliyofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana. Lakini je, umewahi kujiuliza huyu Chongolo anayezungumzwa ni nani hasa na ametokea wapi hadi kufikia wadhifa huo mkubwa ndani ya CCM? GLOBAL TV ni jukumu letu kutafuta habari za ndani kuhusu kiongozi husika anayekuwa gumzo na kuzileta hapa kama ambavyo tumefanya kwa Chongolo; CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx