У нас вы можете посмотреть бесплатно | MWANAMKE BOMBA | Umi Mohamed Heri, Dereva wa Ambulensi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Amekuwa akiihudumia jamii kwa zaidi ya miaka 30 kutokana na kazi yake ya udereva wa ambulensi. Wengi wakimuenzi kwa namna anavyoifanya kazi yake bila kuchagua ama kubagua ni nani anayemhudumia. Namzungumzia Mama Umi Mohamed Heri ambaye amezidi kupata umaarufu katika eneo la Mpeketoni haswa baada ya mwanawe Anwar Oliotiptip kupata wadhifa wa useneta kaunti ya Lamu. Nilipata fursa ya kuzungumza naye na kutambua kwamba mwanamke huyo bomba ni mfano bora wa kuigwa sio tu na wanawake bali pia wanaume wanaoenzi kazi za kuhudumia jamii.