У нас вы можете посмотреть бесплатно Biashara 13 Za MTAJI Mdogo Ila Zina FAIDA KUBWA SANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Biashara ndio kitu pekee kitakachokupeleka kwenye uhuru wa kifedha. Hivyo kuchagua biashara sahihi ni njia mojawapo itakayokupunguzia urefu wa safari yako ya kutafuta Mafanikio. Kwenye video hii ninekupatia mawazo 13 ya biashara ndogondogo zenye mtaji mdogo na kutengeneza Faida kubwa... Jifunze kisha niambie kwenye comment biashara ipi unahitaji upate ufafanuzi zaidi UNAWEZA TAZAMA PIA; 1.Jinsi Ya kufanya Biashara Kwenye whatsapp status na kupata wateja Wengi👇 • Jinsi Ya Kufanya Biashara Kwenye What... 2.Jinsi Ya kudownload/kusave picha au video iliyopostiwa kwenye whatsapp status👇 • Jinsi Ya kudownload/ Kusave WhatsApp ... 3.Video mbalimbali zinazohusu Ufanyaji wa Biashara kwenye mitandao ya kijamii • Facebook,Instagram, Threads,WhatsApp&... _____________________________________________________ _____________________________________________________ SUPPORT BIASHARA YANGU🥰 I hope unajifunza vingi kupitia Channel hii Tena BURE kabisa...😊 Naomba Support yako Katika Biashara yangu Ya Printing ili niendelee kutoa elimu bila kuchoka ktk channel hii.👇 1.Naprint Picha Mbao Na kutuma mikoani. A5-7000 A4-12000 A3-25000 A2-45000 A1-85000 2.Pia Naprint picha Saa, Matshirt, Jezi, Vikombe, Kofia Unaweza Tembelea Akaunti Yangu Instagram kisha ukanifollow👇 https://www.instagram.com/kakawanted_... Au ukaja WhatsApp Moja Kwa Moja kupitia Namba +255656781501 au kupitia link hii👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 ______________________________________________________ ______________________________________________________ COURSES NA HUDUMA ZANGU 1.Naset Matangazo Ya sponsored ads Instagram na Facebook kwa shilingi 30000(mara ya kwanza), na 10000 mara ya pili na kuendelea.. 2.Natatua Tatizo la Akaunti kufungwa na Matatizo mengine kwa 50,000/= 3.Nafundisha Course ya Sponsored ads masterclass kwa usimamizi wa mwaka mzima Pamoja na kutatua matatizo yote ya sponsored ads wewe mwenyewe kama akaunti kufungwa, kukwepa madeni nk. (Video zipo 44, Bei ya course ni 50,000/= 4.Nafundisha jinsi ya kutengeneza na kuedit video aina zote kama vile Lyrics, matangazo, Video za Youtube kwa kutumia smartphone Bei ya course 60,000/= 5.Nafundisha Youtube Marketing. Jinsi gani unaweza kulipwa kwa kuupload videos kwenye channel yako. Gharama Ya Course ni 70,000/= 6.Natengeneza Matangazo proffesional Ya Videos Bei ni 150,000/= kwa Tangazo moja KUJIFUNZA COURSE HIZI Na KUPATA HUDUMA HIZI, wasiliana nami whatsApp Kupitia link👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 NOTE⚠️(Youtube jifunze Bure, ila whatsapp Sina huduma ya Bure) ---------------------------- ---------------------------- MAWASILIANO: Hello, Naitwa Ezrah Mhonda, Ni mjasiriamali wa mambo ya Mitandao. Nasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kukuza biashara zao kupitia Mitandao ya kijamii. Pia nafanya Biashara ya Printing. INSTAGRAM A.👇 / wantedlifemarketing INSTAGRAM B👇 https://www.instagram.com/kakawanted_... WHATSAPP:👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 au +255656781501 EMAIL:👇 [email protected] au [email protected]