У нас вы можете посмотреть бесплатно RAIS SAMIA ATOA BILIONI 155 KUWEKA LAMI HADI NDUMBI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametenga bajeti ya shilingi bilioni 155 kukamilisha ujenzi wa barabara nzito ya lami kutoka Kitai wilayani Mbinga hadi Ndumbi wikayani Nyasa mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa wakati anazungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Amanimakoro,na Ruanda Wilaya ya Mbinga na wananchi wa Lituhi Wilaya ya Nyasa. Waziri Bashungwa yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya barabara inayoendelea kutekelezwa ambapo Waziri hajaridhishwa na Mkandarasi wa ujenzi wa kipande cha barabara ya lami nzito kutoka Amanimakoro hadi Ruanda chenye urefu wa kilometa 35.