У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT CHIF BAM MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI YAWE YA KIMATAIFA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIONGOZI WA KIFALME KUTOKA AFRIKA KUSINI ALIVYOTOA WITO MAADHIMISHO YA MAJIMAJI KUPEWA HADHI YA KIMATAIFA Princess Dr Chief Nikiwe Bam kutoka Afrika Kusini pichani kulia ameibua hamasa mpya kuhusu historia ya Afrika baada ya kushiriki Maadhimisho ya Majimaji yaliyofanyika Songea mkoani Ruvuma Februari 27, akitoa wito kwa vyombo vya habari na wadau wa mitandao ya kijamii kusaidia kuyaweka maadhimisho hayo kwenye ramani ya dunia. Katika tukio hilo la kihistoria, Princess Dr Chief Nikiwe Bam alipata fursa ya kutoa hotuba maalum akisisitiza umuhimu wa Historia ya Majimaji kama alama ya mapambano ya Waafrika dhidi ya ukoloni. Baadaye alikutana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, kujadili mikakati ya kuifanya kumbukumbu hiyo kuwa tukio la kimataifa linalounganisha Waafrika kutoka mataifa mbalimbali. Maadhimisho ya Majimaji yanaendelea kuwa daraja muhimu la kuikumbusha dunia kuhusu ujasiri na mshikamano wa Waafrika katika kupigania uhuru. #MajimajiHistory #AfricanUnity #SongeaR