У нас вы можете посмотреть бесплатно Twende Ulimwenguni | Jmdklm, Kanisa la Mungu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni Ujuzi Gani Ambao Mungu Anataka Watu Wote Wajue na Waokolewe? Ijapokuwa Mungu Amefungua njia kwa injili kuenea kupitia maendeleo katika sayansi na teknolojia, usafiri, na Mtandao, lazima tueneze ulimwenguni kote ujuzi wa agano jipya na ukweli kuhusu Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama. Nguvu ya Kubadilisha Watu Binafsi na Ulimwengu Upo katika Injili ya Mungu Ijapokuwa Mtume Paulo aliwafunga na kuwatesa watakatifu, alifanya hivyo kabla ya kujua ukweli kuhusu Yesu Kristo. Vivyo hivyo, ni lazima tufundishe maarifa ya kweli ya Mungu kwa wale wasiolijua Kanisa la Mungu, Sabato na Pasaka bali wanazikashifu. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuwaongoza kupokea baraka ya wokovu, ambayo inampendeza Mungu zaidi. Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokoka. Lakini yeyote asiyeamini atahukumiwa.” Marko 16:15–16 Mungu Mwokozi wetu, anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli. 1 Timotheo 2:3–4 [ Hakimiliki za video hii zimehifadhiwa na Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Hairuhusiwi kunakili na kusambaza bila kibali. ] 〖World Mission Society Church of God〗https://watv.org 〖WATV Media Cast〗 https://watvmedia.org/sw 〖Church of God Introduction〗 https://introwmscog.com