У нас вы можете посмотреть бесплатно HAFLA YA UZINDUZI TAWI LA KCB BANK MKUNAZINI, ZANZIBAR - Ep02 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KCB Bank Tanzania imezindua rasmi tawi jipya Mkunazini, Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kimkakati kuimarisha upatikanaji wa huduma za kifedha na kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi. Uzinduzi huu unaunga mkono Dira ya Maendeleo Zanzibar 2050 kwa kuimarisha sekta binafsi, uchumi wa buluu, na mageuzi ya kidigitali kupitia huduma bunifu za benki, ikiwemo KCB Sahl Islamic Banking. Benki imeendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati kama usafirishaji wa mizigo baharini na maendeleo ya hoteli, pamoja na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika safari ya serikali ya kidigitali. Hatua hizi zinafungua fursa zaidi kwa wafanyabiashara, wawekezaji na jamii kwa ujumla kunufaika na mtandao mpana wa KCB Group Afrika Mashariki na Kati. #KCBBankTanzania #KCBZanzibar #UchumiJumuishi #Zanzibar2050 #DigitalBanking #IslamicBanking #BlueEconomy #FinancialInclusion #ZanzibarBusiness #KCBGroup