У нас вы можете посмотреть бесплатно Unauza Sana Lakini Huoni Faida? Hii Ndio Sababu! | Datapodcast | Episode 3 | Eng. Kabenda или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanyabiashara wengi huamini kuwa mauzo mengi = faida kubwa. Lakini ukweli ni kwamba biashara inaweza kuuza sana na bado ikawa haipati faida. Katika Episode 3 ya Data Podcast, Eng. Kabenda Balete anaelezea kwa lugha rahisi tofauti kati ya mauzo, gharama na faida, na kwa nini kuelewa Income Statement ni muhimu kwa mfanyabiashara yeyote. Katika episode hii utajifunza: • Kwa nini mauzo si sawa na faida • Dalili zinazoonesha biashara ina mauzo mengi lakini faida ndogo • Jinsi ya kuelewa Income Statement hata kama huna accountant • Namna data inavyoweza kukuonesha hali halisi ya biashara yako Kama hujui faida halisi ya biashara yako, unaweza kuwa unafanya kazi nyingi bila kuona matokeo. Anza kuelewa biashara yako kwa data, sio kwa makadirio. #DataPodcast #BiasharaKwaData #UzaDigit #SMETanzania #PesaTalk