У нас вы можете посмотреть бесплатно Maamuzi ya Biashara Bila Data = Kamari | Datapodcast | Episode 2 | Eng. Kabenda или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maamuzi ya biashara bila data ni kama kucheza kamari. Wafanyabiashara wengi hufanya maamuzi makubwa kwa mazoea, hisia au kwa kuangalia biashara ya jirani — lakini bila takwimu sahihi. Katika Episode 2 ya Data Podcast, Eng. Kabenda Balete anaeleza kwa nini kuendesha biashara bila data ni hatari, na jinsi takwimu zinavyoweza kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kila siku. Utajifunza: • Ni maamuzi gani wafanyabiashara wengi hufanya kwa hisia • Hatari ya kuendesha biashara bila mfumo wa data • Kwa nini biashara inapaswa kuonekana kama mfumo, si mazoea • Jinsi mifumo kama UzaDigit inavyosaidia kukusanya na kutumia data kirahisi Biashara yenye data ina mwelekeo. Biashara bila data ina bahati. Tazama episode hii ujifunze jinsi ya kubadilisha maamuzi yako ya biashara kutoka hisia → takwimu. #DataPodcast #BiasharaKwaData #UzaDigit #SMETanzania #PesaTalk