У нас вы можете посмотреть бесплатно Athari za maandamano ya 'sufuria na vijiko' Msumbiji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji Venancio Mondlane ametangaza siku tatu za maombolezo ya kuwakumbuka watu 50 ambao, kwa mujibu wake, waliuawa wakati wa wiki za maandamano kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo. Wakati huo huo, Shirika la Human Rights Watch limeishutumu polisi kwa kuwaua watoto 15, baadhi yao wakiripotiwa kupigwa risasi kiholela wakiwa ndani ya nyumba zao. Mwandishi wa BBC wa masuala ya usalama barani Afrika Ian Wafula akiwa Maputo anaelezea. #bbcswahili #msumbiji #uchaguzimsumbiji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili