У нас вы можете посмотреть бесплатно Bashe: Vijana wa BBT watakaopewa mashamba ni 658 tu sio wale tulioanza nao safari или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema vijana wa programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT) watakaopewa mashamba baada ya kuhitimu mafunzo ni 658 pekee na sio idadi ya mwanzo ya vijana walioanza mafunzo ya programu hiyo. Waziri Bashe amesema Vijana 533 pekee ndio walioshiriki mafunzo hayo na kuhitimu huku waliopewa ruhusa kwa sababu mbalimbali wakiwa 125 ambao jumla ya wanafikkia vijana 658. Waziri Bashe ameyasema hayo leo Ijumaa, Desemba 8, 2023 jijini Dodoma wakati sherehe ya kuagwa kwa vijana wa programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT) waliopatiwa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwenye Kikosi 834 KJ Makutopora, mkoani Dodoma.