У нас вы можете посмотреть бесплатно 🐔 JINSI YA KUANZIA NA MTAJI MDOGO NA KUWA NA KUKU WENGI WA KIENYEJI (NA FAIDA YAKE) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, una mtaji mdogo lakini unatamani kuwa na kuku wengi wa kienyeji na kupata FAIDA kubwa? 🐔💰 Kwenye video hii nimekufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuanza na mtaji wa Tsh 200,000–300,000 na ndani ya mwaka mmoja uwe na kuku zaidi ya 100! Utajifunza: Mimea 10 Yenye Nguvu kwa Vifaranga wa Kienyeji | Tiba za Asili Zenye Matokeo Makubwa ✅ Idadi sahihi ya kuku wa kuanzia ✅ Jinsi ya kujenga banda la gharama nafuu ✅ Mfumo wa kuzalisha kuku wengi haraka (multiplication system) ✅ Njia za kupunguza gharama za chakula kwa zaidi ya 40% ✅ Makadirio ya faida halisi utakayopata Ukifuata mfumo huu vizuri, unaweza kufikia mapato ya zaidi ya Tsh 400,000 kwa mwezi baada ya miezi 8–12. 📲 Jiunge na kundi letu la WhatsApp la wafugaji kwa mafunzo zaidi 📘 Pata kitabu chetu cha tiba za asili kwa kuku 🔔 Subscribe kwenye channel kwa mafunzo mapya kila wiki #UfugajiWaKuku #KukuWaKienyeji #BiasharaYaKuku #MtajiMdogo #KingoFarm