У нас вы можете посмотреть бесплатно 🐔 Ukitaka Kutajirika Maeneo ya Mjini – Fuga Kuku wa Kienyeji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ukitaka kutajirika maeneo ya mjini, anza na kuku wa kienyeji 🐔🔥 Katika video hii nimeelezea kwa kina kwa nini ufugaji wa kuku wa kienyeji ni biashara yenye faida kubwa sana hasa kwa watu wanaoishi mijini. Soko lipo karibu, bei ni nzuri, na gharama za uendeshaji ni ndogo ukitumia mbinu sahihi. Ndani ya video utafaidika na: ✅ Faida za kufuga kuku wa kienyeji mjini ✅ Mfano wa hesabu ya mapato kwa kuku 30–50 ✅ Jinsi ya kupunguza gharama za chakula na dawa ✅ Siri ya kuongeza uzalishaji wa mayai ✅ Makosa yanayowarudisha nyuma wafugaji wengi Ukifuata hatua hizi, ndani ya miezi 6–12 unaweza kuongeza idadi ya kuku mara 3 bila kununua wengine. 📞 Kwa mafunzo zaidi au kujiunga na kundi la wafugaji WhatsApp: 0712188239 👍 Like 💬 Comment 🔁 Share 🔔 Subscribe kwa mafunzo zaidi ya ufugaji wa kisasa na tiba za asili #UfugajiWaKuku #KukuWaKienyeji #BiasharaMijini #KingoFarm #KilimoBiashara