У нас вы можете посмотреть бесплатно 🐔 SIRI YA KUWA NA KUKU WENGI WA KIENYEJI NDANI YA MUDA MFUPI! 🚀 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unataka kuwa na kuku wengi wa kienyeji na kuongeza kipato chako? 🐔💰 Kwenye video hii nimeelezea hatua muhimu za kufuata ili kuongeza idadi ya kuku wako kwa haraka na kwa usalama. Utajifunza: ✅ Jinsi ya kuchagua mbegu bora ✅ Namna ya kutengeneza banda salama ✅ Lishe sahihi ya kuku wa kienyeji ✅ Kinga na tiba muhimu ✅ Njia bora ya kuongeza uzalishaji kupitia kuatamisha Ukifuata maelekezo haya kwa umakini, utaona mabadiliko makubwa kwenye ufugaji wako ndani ya muda mfupi. 📌 Jiunge na kundi letu la WhatsApp kwa mafunzo zaidi (miezi 2 kwa Tsh 8,000/=). 📚 Tunazo pia Vitabu: Safari ya Ufugaji (Toleo Jipya) Tiba za Asili kwa Kuku Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji Ufugaji wa Broiler Karibu tufuge pamoja 🐔 Ufugaji ni Fursa! 🔥 🏷️ Tags: ufugaji wa kuku, kuku wa kienyeji, mbinu za kufuga kuku, jinsi ya kuwa na kuku wengi, lishe ya kuku, banda la kuku, kinga ya kuku, tiba za asili kwa kuku, uzalishaji wa kuku, biashara ya kuku, ufugaji Tanzania, kuku chotara, vifaranga, kutotolesha mayai, kuongeza kipato kwa kuku