У нас вы можете посмотреть бесплатно 🐣 TIBA MUHIMU YA VIFARANGA BAADA YA KUTOTOLESHWA | Siku 7 Za Mwanzo Zinaamua Mafanikio или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🐣 TIBA YA VIFARANGA BAADA YA KUTOTOLESHWA – SIKU 7 ZA MWANZO NDIZO MSINGI WA MAFANIKIO! Katika video hii utajifunza: ✅ Jinsi ya kuwapa glucose na multivitamin siku za mwanzo ✅ Dawa za kuzuia kuharisha na coccidiosis ✅ Joto sahihi la brooder (32–35°C wiki ya kwanza) ✅ Chanjo muhimu kama Newcastle (Lasota) na Gumboro ✅ Namna ya kupunguza vifo vya vifaranga kwa zaidi ya 80% Kama wewe ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, chotara au broiler, video hii ni muhimu sana kwako. Siku 7 za kwanza ndizo zinazoamua ukuaji na faida yako baadaye. 📌 Jiunge na kundi letu la WhatsApp kwa mafunzo ya miezi 2 kwa Tsh 8,000/= 📚 Vitabu vinapatikana: Safari ya Ufugaji (Toleo Jipya) Tiba za Asili kwa Kuku Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji Ufugaji wa Broiler 🔥 Tufuge pamoja, Ufugaji ni Fursa!