У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIFAHAMU ATHARI ZA KUWAKATA WATOTO KIMEO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakati mtoto akiwa na kikohozi kisichoisha huwa ni utamaduni wa baadhi ya jamii kumfungua mtoto mdomo na kuangalia urefu wa Kimeo ambacho wengine katika pwani ya Kenya hukiita kilimi. Ikiwa ni kirefu husemekana kuwa ndio sababu ya kikohozi sugu hivyo sharti kikatwe na wataalam wa kijadi. Sasa wataalam nchini Tanzania wanasema operesheni hii ya kijadi ni hatari na inaweza kusababisha madhara makubwa kiafya.