У нас вы можете посмотреть бесплатно DAWA NZURI YA MAFUA MATONSES TONSILITIS NA KOO KUWASHA SORE THROAT или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dawa nzuri ya mafua, tonsilitis ama matonses pamoja na koo kuwasha ama sore throat unaweza kabisa kujitengenezea mwenyewe kwa kutumia vitu vinavyopatikana kirahisi kabisa hapo nyumbani. Dawa hii nzuri haina maudhi kama zilivo dawa nyingi na hutumia chumvi na maji tuu. Imekua ikitumika kwa miaka mingi sana. Dawa hii ni nzuri lakini pia inasaidi sana watu kutokimbilia kwenye kutumia antibiotics moja kwa moja kujitibia mafua jambo ambalo sio sawa. fuatilia makala hii upate kufahamu namna ya kutengeneza na kuitumia dawa hii. @millardayoTZA @SimuliziNaSauti @bananafmtz