У нас вы можете посмотреть бесплатно MTAJI KIKWAZO KWA UWEKEZAJI KWA VIJANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tatizo la ukosefu wa mtaji limetajwa kuwa kikwazo kwa vijana wanaotaka kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali mkoani Kagera. Akizungumza wakati wa kongamano la wawekezaji wa ndani, lililofanyika katika manispaa ya Bukoba, mwekezaji katika sekta ya uchimbaji wa madini ya Bati katika wilaya ya Kyerwa, Renatus Boniface amesema kuwa vijana wengi wanaamua kujiajiri baada ya kuhitimu vyuo na kukosa ajira. Ameishukuru Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania –TISEZA- kwa kuendesha kongamano hilo kwa wawekezaji wa ndani, kwa lengo la kutoa elimu ya namna gani watawezeshwa kupata mitaji, lakini akashauri kiwango cha mtaji wa kuanzia kwa wawekezaji wa kawaida, ambacho ni shilingi milioni 150 kipunguzwe. • MTAJI KIKWAZO KWA UWEKEZAJI KWA VIJANA