У нас вы можете посмотреть бесплатно TISEZA KUWAONDOLEA KODI WAWEKEZAJI NCHINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wawekezaji katika sekta mbalimbali mkoani Kagera, wameshauriwa kujisajili kwa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania –TISEZA- ili kunufaika na huduma zinazotolewa na mamlaka hiyo ikiwemo kuondolewa kodi wakati wa uingizaji wa vifaa kutoka nje ya nchi. Ushauri huo umetolewa na mwekezaji katika sekta ya uchimbaji wa madini ya Dhahabu kutoka wilaya ya Biharamulo, Ndaisaba Luhoro, wakati wa kongamano kwa wawekezaji wa ndani, lililofanyika katika manispaa ya Bukoba. • TISEZA KUWAONDOLEA KODI WAWEKEZAJI NCHINI