У нас вы можете посмотреть бесплатно UKOSEFU WA UZIO WATISHIA USALAMA WA WANAFUNZI SHULE YA WASICHANA OMUMWANI – BUKOBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shule ya Sekondari ya Wasichana Omumwani, iliyopo Manispaa ya Bukoba, inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa uzio hali inayohatarisha usalama wa wanafunzi. Tatizo hilo limebainika wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na UVCCM Kagera katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruani, ameahidi kulifikisha suala hilo kwa mamlaka husika ili shule ijengewe uzio, huku wanafunzi wakiomba serikali kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto hiyo. • UKOSEFU WA UZIO WATISHIA USALAMA WA WANAFU... UKOSEFU WA UZIO WATISHIA USALAMA WA WANAFUNZI SHULE YA WASICHANA OMUMWANI – BUKOBA