У нас вы можете посмотреть бесплатно CHADEMA WAFIKA MOCHWARI, MAKABURINI KUMTAFUTA MDUDE, WAZUNGUMZA HAYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu mawenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kanda ya Nyasa Frank Mwakajoka ameongoza viongozi,wanachama,wafuasi na wakeleketwa wa chama hicho kufika mochwari ya hospital ya rufaa kanda Mbeya na makaburi ya sabasaba jijini Mbeya kumtafuta mwanaharakati Mpaluke Nyagari maarufu jina Mdude ambaye hajulikani aliko tangu mei 2 baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani Jijini Mbeya. Akizungumza na waandishi wa habari Makamu mwenyekiti kanda ya Nyasa Mwakajoka amesema wamefaya hivyo ili kujua alipo Mdude na wataendelea na utaratibu kila siku na mei 5 2025 watafika katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mbeya ili kujua hatma ya ndugu yao.