У нас вы можете посмотреть бесплатно DAKIKA SITA ZA MAZISHI YA KARDINALI PENGO NDANI YA KANISA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Matukio muhimu ya mazishi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, katika kituo cha Hija Pugu jijini Dar es Salaam. Mwili wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo umezikwa leo Jumamosi Februari 28, 2026 katika Kituo cha Hija kili-chopo Pugu, jijini Dar es Salaam. Misa ya mazishi iliyohudhuriwa na viongozi wa dini mba-limbali, Serikiali waumini pamoja na mamia ya waom-bolezaji, imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Juda Theddeus Ruwa’ichi kisha mwili kuzikwa kati-ka kanisani hapo. Kardinali Pengo alifariki dunia Februari 19, 2026 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Moyo ya Jakaya Kikwete, ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu.