У нас вы можете посмотреть бесплатно Kardinali Pengo aagwa leo Dar es Salaaam, M23 wakitangaza kifo cha msemaji wao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MSETO PLUS: Unayopaswa kuyafahamu leo Februari 27, 2026. 01. Mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo, umefikishwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu kwa ajili ya waumini na wananchi kutoa heshima za mwisho, huku mazishi yake yakitarajiwa kufanyika kesho, Jumamosi Februari 28, 2026. 02. Serikali ya Tanzania imeeleza hatua zilizochukuliwa kufuatia kukamatwa kwa meli yenye bendera ya Tanzania nchini El Salvador, iliyodaiwa kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya kokeini. 03. Wakati mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ukiendelea kushika kasi, msemaji wa kundi la waasi la M23, Willy Ngoma, ameripotiwa kuuawa pamoja na watu wengine takribani tisa katika shambulizi la ndege isiyo na rubani (drone) lililotokea Februari 24, 2026 katika eneo la Rubaya, Kivu Kaskazini. MWISHO.