У нас вы можете посмотреть бесплатно Serikali kuongeza idadi ya ndege, nne kununuliwa mwaka huu 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa hadi kufikia mwaka 2030 Serikali inatarajia kununua jumla ya ndege nane, huku nne zikitarajiwa kuwasili ndani ya mwaka 2026 pekee. Msigwa ameyasema hayo leo, Februari 26, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha sekta ya usafiri wa anga na kuongeza ufanisi wa huduma za usafiri wa ndege nchini. #GersonMsigwa #UnunuziWaNdege #SektaYaAnga #AirTanzania #HabariZaLeo #SerikaliYaTanzania #UsafiriWaAnga #Tanzania2030